KIVUKO CHA MAGOGONI CHAZUA TAHARUKI KUU KWA ABIRIA.......
Taarifa zilizozagaa na kushtua Umma wa Watanzania ni pamoja na hii ya Pantoni kuzima ghafla Dar na kulazimika abiria wajitose baharini kuokoa maisha yao, hadi sasa haijafahamika kama kuna athari iliyopatikana. Nitaendelea kukujuza kadri nitakavyozidi kupata taarifa, hiyo ni ahadi yangu kwako.
![]() |
| Abiria wa kivuko cha Magogoni kama wanavyoonekana wakijitahidi kuokoa maisha yao baada ya kivuko hicho kupoteza muelekeo na kuanza kuingiza maji ndani. |
![]() | |
|
.
![]() |
| Abiria wa kivuko cha Magogoni kama wanavyoonekana wakijitahidi kuokoa maisha yao baada ya kivuko hicho kupoteza muelekeo na kuanza kuingiza maji ndani. |
![]() | |
|
@RINYO'S

No comments:
Post a Comment