RAIS
MAGUFULI AWAAPISHA MNADHIMU MKUU WA JWTZ, BALOZI WA TANZANIA KUWAIT NA
KATIBU TAWALA WA KATAVI NA MWANZA LEO IKULU DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Dkt. Mahadhi Juma Maalim kuwa Balozi wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimkabidhi nyezo za kazi Dkt.
Mahadhi Juma Maalim baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Luteni Jenerali Venance Salvatory Mabeyo kuwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimkabidhi nyezo za kazi Luteni Jenerali Venance Salvatory Mabeyo baada
ya kumuapisha kuwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Kamishna wa Polisi Clodwig Mathew Mtweve kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimkabidhi nyezo za kazi Kamishna wa Polisi Clodwig Mathew Mtweve bvaada ya kumuapisha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akipokea saluti toka kwa Kamishna wa Polisi Paul Amani Moses Chagonja
kabla ya kumuapisha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Kamishna wa Polisi Paul Amani Moses Chagonja kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimkabidhi nyezo za kazi Kamishna wa Polisi Paul Amani Moses Chagonja baada ya kumuapisha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akiongea na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ MStaafu Luteni Jenerali (Rtd) Samuel
Albert Ndomba baada ya shughuli ya kiapo Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
@RINYO'S