MAANDALIZI YA MAHAFALI YA 17 YA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA (IAA) YAZIDI KUPAMBA MOTO:
Maandalizi
ya Mahafali ya 17 ya Chuo cha Uhasibu Arusha yatakayofanyika hiyo kesho Tarehe
20/11/2015 yamezidi kupamba moto katika uwanja wa michezo wa chuo hicho kama yanavyoonekana katika picha.
 |
| Picha ya jukwaa kuu kama inavyoonekana (Picha na Elirinyo) |
 |
| Moja kati ya mahema kwa ajili ya wageni (Picha na Elirinyo) |
 |
| Mmoja kati ya mafundi mitambo akifanya Mic Test pamoja na Sound Test katika jukwaa kuu (Picha na Elirinyo) |
 |
| Mmoja kati ya mafundi mitambo akifanya Mic Test pamoja na Sound Test katika jukwaa kuu (Picha na Elirinyo) |
 |
| Sehemu ya viti na vibao vitakavyotumika kuongozea watu kama inavyoonekana (Picha na Elirinyo) |
 |
| Sehemu ya viti na vibao vitakavyotumika kuongozea watu kama inavyoonekana (Picha na Elirinyo) |
Akizungumza
nasi Mkuu wa Usajili (Registrar) chuoni Bw. Nimrod Foya alisema kuwa idadi
kamili ya wahitimu ni Wanafunzi 1546 wanaohitimu katika Ngazi mbalimbali za
Elimu chuoni hapo ikiwa ni pamoja na ngazi ya Astashahada (Certificate),
Stashahada (Diploma), Shahada (Degree) na Shahada za Uzamili (Post Graduate).
Mahafali ya 17 ya chuo cha Uhasibu Arusha.
Nakusihi ukumbuke kui-share ili na wengine wengi waipate habari hii.
@RINYO'S
No comments:
Post a Comment