Thursday, 19 November 2015

ASUBUHI HII KATIKA MAANDALIZI YA MWISHO MWISHO KUELEKEA MAHAFALI YA 17 YA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA:
Na Reporter wetu:-

Kuelekea katika Mahafali ya 17 ya Chuo cha Uhasibu Arusha maandalizi bado yanakwenda vizuri na reporter wetu akiwa katika eneo la Chuo aliweza kushuhudia yafuatayo.

Lango kuu la kuingilia  Chuo cha Uhasibu kama linavyoonekana (Picha na Elirinyo)

Mahafali haya hayatawanufaisha tu wahitimu bali pia yatawanufaisha Wafanyabiashara wadogo (wamachinga) amabo wamejitokeza kuuza bidhaa zao kama Mataji, kadi,  fremu za picha, ribbon na mabango yenye maneno ya kupongeza wahitimu.

Wajasiriamali wadogo wadogo (Wamachinga) wakiwa tayari wametia kambi nje ya eneo la Chuo ili kujipatia riziki (Picha na Elirinyo)

Neno IAA katika lango kuu la kuingilia Chuoni kwa muundo sanifu wa maua (Picha na Elirinyo)

Reporter wetu katika viwanja vya chuo cha Uhasibu (Picha na Elirinyo)

Jukwaa kuu kama linavyoonekana kwa karibu (Picha na Elirinyo)

Reporter wetu akiwa karibu na jukwaa kuu (Picha na Elirinyo)

@RINYO'S

No comments:

Post a Comment