Friday, 22 January 2016

BURUDANI

VIDEO YA ZIGO YA AY NA DIAMOND RASMI IMEACHIWA LEO......


Hapo siku ya jana wasanii nyota wa Bongofleva walioiletea nchi yetu heshima kwa vipindi tofauti Ambwene Yesaya "AY" na Nassib Abdul "Diamond Platnumz" waliachia Remix ya ngoma ya AY Zigo kwa mfumo wa Audio na kionjo cha Video hiyo, jambo lililowaachia hamu mashabiki wa muziki kutaka kuiona video hiyo.

Na leo rasmi AY ameiachia video hiyo, kama kawaida yangu wajibu wangu kukuletea vitu vizuri.................hapa hapa utaipata video hiyo











@RINYO'S

No comments:

Post a Comment